Loading...

Kupumzika Kunasaidia Kukabili Upungufu Wa Nguvu Za Kiume

AIBUUU PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI WA FORM ONE ZAVUJA ZIONE KWA KUBOFYA HAPO CHINI=>

Wanaume hufanya kazi zaidi na kutembea umbali mrefu zaidi ukilinganisha na wanawake, hivyo hutumia nguvu nyingi kufanya mambo haya, hali inayomletea uchovu mkali wa mwili.Yawezekana kuwa tuna majukumu mengi na tunafanya kazi sana ili kujipatia kipato, lakini katika kufanya kazi huko huwa tunafanya kazi nzito ambazo zinauchosha mwili kupita kiasi.Kwa uhalisia wanaume wanafanya kazi ngumu zinazochosha mwili ikiwamo za kuendesha magari makubwa na kusafiri nayo umbali mrefu, kazi za ujenzi, kubeba mizigo mizito kama ilivyo kwa makuli wa bandarini na sokoni.Kazi zingine ni pamoja na za kutumiaakili zaidi ikiwamo ya uhandisi wa mawasiliano na kazi za usanifu majengo.Wanaume hufanya kazi zaidi na kutembea umbali mrefu zaidi ukilinganisha na wanawake, hivyo hutumia nguvu nyingi kufanya mambo haya, hali inayomletea uchovu mkali wa mwili.Uchovu na mashinikizo ya kimwili ni mojawapo ya mambo yanayochangiawanaume wengi kupungukiwa na nguvu za kiume. Unapokuwa katika hali hii ni vigumu kupata msisimko wa kimwili inayochochea kufanya tendo la ndoa.Kutumika sana kwa viungo vya mwili,ikiwamo ubongo, misuli ya mwili, baadaye humfanya muhusika kubaki na uchovu mkali mwilini.Utakumbuka hili ni jambo la tatu kulizungumzia katika mazingira ya kawaida kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Katika mfululizo wa makala hizi, siku za nyuma nilizungumzia vyakula pamoja na mazingira ya mtu kisaikolojia kama mojawapo ya mambo yanayoweza kuchangia tatizo hili.Uchovu au mwili kuchoka sana, huchangia mtiririko wa tendo la ndoakuathirika na hata vichocheo vya mwili kupungua.Mwili unapochoka, unashindwa kuwa na nguvu za kiume za kutosha hivyo kushindwa kwenda mizungukokadhaa ya tendo la ndoa.Kama tulivyoona katika makala za mwanzoni kuwa tendo hili linalohusisha mfumo wa fahamu, yaani ubongo, uti wa mgongo, mishipa ya fahamu, mfumo wa damu, moyo na misuli ya mwili.Misuli hiyo ikiwamo ile ya uume, homoni za mwilini pamoja na kemikali zilizomo katika damu na sehemu za mwilini, navyo vinahusika.Uchovu mkali uliotokana na kufanya kazi ngumu bila kupata usingizi au mapumziko, huwa na mwingiliano namtiririko mzima wa tendo hili kiujumla.Kuupumzisha mwili kwa kulala usingizi kuna faida kubwa sana kiafya.Kitaalamu kulala kunawezesha mwili ulio na uchovu kuweza kurejewa na nguvu upya. Kulala peke yake, kunaupa nafasi mwili kupata utulivu, kuukarabati na kuujenga mwili. Vilevile hii ni namna ya kupambana na maradhi na hitilafu mbalimbali zilizojitokeza mwilini.Tafiti mbalimbali za kiafya zimeonyesha kuwa kulala kwa zaidi ya saa sita kuna faida kubwa kiafya kwani husababisha kiwango cha homoni ya kiume iitwayo Testosterone mwilini huongezeka.Kupanda kwa homoni hii ni faida kubwa kwa mwenye upungufu wa nguvu za kiume na hata asiye na tatizo. Hivyo hili ni jambo muhimu kwa kila mtu.Homoni hii ndiyo inayosababisha tabia zetu za kiume, ikiwamo ya kuweza kupata hisia za tendo la ndoa na kufanya kuwa imara.Kitaalamu mwanadamu anatakiwa kupumzika kwa kati ya saa sita hadi nane. Muda huo ndiyo unaoonekana kisayansi unatosheleza mwanadamukupumzisha mwili wake na kuepukana na uchovu.Ni vyema wale wenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kujijengea mazoea ya kulala kwa saanyingi ikiwa ni mojawapo ya mbinu rahisi za matibabu.
KUONA VIDEO YAKE NI RAHISI TU BOFYA HAPA CHINI>>>>>>>>=======>>>>>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily. "I love air freshener. In the last three years, there is not a day where I’ve not had it. Fresh linen is my favorite flavor. Apple crisp is like dirt.” Evelyn said it started one day when she walked past an automatic air freshner spray, and it “dusted” her cup of glass. She gave it a try, and became hooked. Her man says he hates it but because he loves her, WADADA WAJIUZA MITANDAONI LIVE TAZAMA PICHA ZAO CHAFU NA BEI HAPA CHINI BOFYAAAA>>>>=>>>>>>=>
ANDIKA COMMENT AU MAONI YAKO HAPA!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Wordwordseven n' Tripleseven | Designed By 075580248
Back To Top