Loading...

BURUDANI NA MICHEZO

BARCELONA BINGWA KLABU BINGWA ULAYA

Wachezaji wa Barcelona wakishangilia baada ya kubeba kombe hilo kwa kuifunga Juventus 3 kwa 1
Timu ya soka ya Barcelona leo imefanikiwa kubeba Ubingwa klabu bingwa ulaya (UEFA) kwa mara nyingine baada ya kuicharaza Juventus ya Italia jumla ya magoli matatu kwa moja katika fainali iliyochezwa usiku huu mjini Berlin UjerumaniMagoli ya Barcelona yamefungwa na Ivan Rakitic, Luis Suarez na Neymar huku Juventus ikipatia goli la kufutia machozi kupitia kwa Alvaro Morata
Wachezaji wa Barcelona wakisubiri kukabidhiwa kombe
Neymar akilibusu kombe hilo
Wachezaji wa Barcelona wakiwa katika furaha ya aina yake sambamba na kombe
Washambuliaji wa barcelona kuanzia kushoto Suarez,Messi na Neymar wakiwa wamelishika kombe muda mfupi baada ya kutawazwa mabingwa

Lionel Messi akiwa amebeba kombe hilo

Hapa Gerard Pique akizitoa nyavu golini ili azivae kama ishara ya kusherekea ubingwa huo

Beki Gerard Pique akiwa amezivaa nyavu ni baada ya timu yake kubeba ubingwa wa Uefa

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Wordwordseven n' Tripleseven | Designed By 075580248
Back To Top