Loading...

Maoni: Tuzo za watu; Hapa Hamfanyi HAKI Maoni: Tuzo za watu; Hapa Hamfanyi HAKI

AIBUUU PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI WA FORM ONE ZAVUJA ZIONE KWA KUBOFYA HAPO CHINI=>

Maoni: Tuzo za watu; Hapa Hamfanyi HAKI

Maoni: Tuzo za watu; Hapa Hamfanyi HAKI
Hakuna vipengele vinavyoniboa kwenye Tuzo za watu, kama hivi vya sijui mwanamuziki na muigizaji anayependwa, binafsi sioni kama kuna mantiki Hapo, yani msanii ata kama hufanyi vizuri ila kwa kuwa akina ‘matikiboko yao’ wanakupenda kule insta kwa mambo yako binafsi, na sio kazi ya msanii, basi wewe unafaa kupewa tuzo, hii inakera sana, tujifunze kutofautisha kati ya wasanii wanaofanya sanaa kama kazi na wale wanaofanya kama fashion (in Lulu's voice ) .

Ni aibu kumpambanisha Riyama Ally na akina Wolper, Lulu na Wema, eti kwa kuwa tu Lulu anapendwa sana Instagram jinsi anavyovaa na kujipiga ma selfies basi wampe tuzo yeye na kumuacha Odama, huu ni uonevu na tunawavunja moyo sana wasanii wenye vipaji halisi. Ni bora mkawatoa kabisa akina Riyama ili muwaweke wale mnaoona wanastahili.

Hao akina Lulu na Wema wana tuzo zao uko kwa Shigongo zinaitwa IJUMAA SEXIEST GIRL kila mwaka wanashindanishwa makalio na kukaa uchi, ila kwenye vipaji kwa kweli hamuwatendei haki. Mwaka jana Wema sepetu alichukua tuzo ya Ijumaa sexiest girl, pale alistahili kabisa kwa kuwa Wema ni sexy kabisaa, tuzo ambayo ilichukuliwa pia na Jack kabla ya kuitwaa Wema.

Kama kweli mmeamua kutoa tuzo za heshima kwa wasanii wenye vipaji basi zingatieni vipaji na sio vinginevyo.

Unapompa tuzo Wema au Lulu kuwa msanii bora wa kike, kwa kazi gani? Kwa filamu ipi? Na kwa kiwango gani? Mnawaacha akina Thea, Mainda, Wellu sengo, Odama, Nisha, Johari wanaohangaika kwa ajili ya sanaa, wanajituma ubora wao unaonekana, kwa kweli inasikitisha sana.
By Warumi- on JF
Picha: Lulu na Mzee Majuto kwenye tuzo za watu, mwaka jana
KUONA VIDEO YAKE NI RAHISI TU BOFYA HAPA CHINI>>>>>>>>=======>>>>>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily. "I love air freshener. In the last three years, there is not a day where I’ve not had it. Fresh linen is my favorite flavor. Apple crisp is like dirt.” Evelyn said it started one day when she walked past an automatic air freshner spray, and it “dusted” her cup of glass. She gave it a try, and became hooked. Her man says he hates it but because he loves her, WADADA WAJIUZA MITANDAONI LIVE TAZAMA PICHA ZAO CHAFU NA BEI HAPA CHINI BOFYAAAA>>>>=>>>>>>=>
ANDIKA COMMENT AU MAONI YAKO HAPA!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Wordwordseven n' Tripleseven | Designed By 075580248
Back To Top