AIBUUU PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI WA FORM ONE ZAVUJA ZIONE KWA KUBOFYA HAPO CHINI=>
Shilingi ya Tanzania itaendelea kuporomoka kila mara endapo nchi
itaendelea kutegemea bidhaa toka nje kwa kiwango kikubwa kuliko
inavyozalisha ndani.Akizungumza na MPEKUZI Profesa Prosper Ngowi toka Chuo Kikuu cha Mzumbe alisema watanzania wasitegemee miujiza wa kukua kwa uchumi wa nchi yao endapo nchi itaendelea kuwa dampo la bidhaa toka nje ya nchi.
Alisema Tatizo kubwa la Tanzania ya leo ni kukubali kwake kutumiwa kama dampo la bidhaa nyingi toka mataifa ya nje, tena nyingi ya bidhaa hizo zikiwa feki zisizio kuwa na viwango.
Alisema hali imezidi kuwa mbaya katika miaka ya hivi karibuni baada ya Tanzania kuridhia masuala ya soko huria.
“Hebu angalia hata baadhi ya huduma za kijamii hapa nyumbani leo zinapatikana kwa kutumia dola suala linalochangia kuiporomosha thamani ya shilingi yetu” alisema Profesa Ngowi.
Alisema njia pekee inayoweza kuiokoa shilingi ya Tanzania ni nchi kuanza kuwekeza katika uzalishaji wa bidhaa za ndani ili mwisho wa siku tuweze kuuza nje kwa wingi.
“Haiwezekani ukakubali kugeuka dampo la bidhaa nyingi tena mbovu toka nje halafu utarajie dhamani ya fedha yako ikawa juu hiyo haiwezekani” alisema Profesa Ngowi.
Alisema hata mamlaka husika nazo kwa kiwango kikubwa zimekuwa zikichangia kwa kiwango fulani kuporomoka kwa dhamani ya shilingi yetu kwa kuruhusu bidhaa kuingia nchini kiholela.
Alisema nilazima tuwe makini na baadhi ya sera tunazoletewa na wenzetu toka nje kwani mara nyingi huwa zinalenga kutumaliza ili tuendele kuwa tegemezi toka kwao.
Alisema wakati Tanzania inapata uhuru wake viongozi walihimiza sana nchi kuzalisha ndani kwa maana ya kuiwezesha nchi kupata fedha za kigeni kwa wingi.
“Hali hii ilikuja kubadilika mara baada ya kuletewa mashariti ya kiuchumi nasi tukayapokea bila hata ya kujiuliza madhara yake ya baadae” alisema Profesa Ngowi.
Alisema kama nchi inatakiwa tuache kufikiria ndoto za alinacha kuwa uchumi wa nchi unaweza kukua kwa kwa nchi kuendelea kuwa dampo la bidhaa toka nje ya nchi.
KUONA VIDEO YAKE NI RAHISI TU BOFYA HAPA CHINI>>>>>>>>=======>>>>>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily. "I love air freshener. In the last three years, there is not a day where I’ve not had it. Fresh linen is my favorite flavor. Apple crisp is like dirt.” Evelyn said it started one day when she walked past an automatic air freshner spray, and it “dusted” her cup of glass. She gave it a try, and became hooked. Her man says he hates it but because he loves her,
WADADA WAJIUZA MITANDAONI LIVE TAZAMA PICHA ZAO CHAFU NA BEI HAPA CHINI BOFYAAAA>>>>=>>>>>>=>
Post a Comment