Loading...

Baada ya Kutajwa Kama Muigizaji Bora wa Kike Kwenye Tuzo Za TAFA 2015, Irene Paul Ameyasema Haya

AIBUUU PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI WA FORM ONE ZAVUJA ZIONE KWA KUBOFYA HAPO CHINI=>

Baada ya Kutajwa Kama Muigizaji Bora wa Kike Kwenye Tuzo Za TAFA 2015, Irene Paul Ameyasema Haya

Baada ya Kutajwa Kama Muigizaji Bora wa Kike Kwenye Tuzo Za TAFA 2015, Irene Paul Ameyasema HayaStaa mrembo wa Bongo Movies, Irene Paul  ameibuka mshindi wa tuzo za Tanzania Film Awards  (TAFA) 2015 kwenye kipengele cha muigizaji bora wa kike ‘Best Actress (in Lead Role)’ ambapo alikuwa akichuana na Irene Veda ,Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ , Rose Ndauka na Shamsa Ford.
Irene  ameeleza kuwa  filamu ya Never Give Up aliyoicheza na staa kutoka Ghana  Van Vicker ndioiliyomfanya ashind tuzo hiyo.
“Filamu iliyonifanya niwe msanii bora wa 2015 ni NEVER GIVE UP niliyoitwa na mzee kambi na niliyocheza na van vicker kutoka ghana van vicker” Ire alieleza  na kuongeza haya kupitia ukurasa wake mtandaoni
“Laiti njia za Mungu zingekuwa za binadamu nahisi basi tungekuwa na historia tofauti,nasema hivyo maana natafakari nashindwa ila kwa vile amedhihirisha yupo na hana upendeleo NA AKISEMA NDIO HAKUNA WA KUPINGA,naongea na wewe kijana mwenye hitaji lako unaloamini ukifanikiwa utafika mahali fulani,haijalishi ni mda gani,haijalishi machoni pa wengi ni pagumu kiasi gani kinachojalisha ni nguvu na bidii unayoiweka katika kuitimiza ndoto yako ndipo patakapomfanya Mungu abariki na kuweka wepesi wa kupata ndoto yako THIS WAS MY DREAM" 
Hongera sana Irene.
KUONA VIDEO YAKE NI RAHISI TU BOFYA HAPA CHINI>>>>>>>>=======>>>>>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily. "I love air freshener. In the last three years, there is not a day where I’ve not had it. Fresh linen is my favorite flavor. Apple crisp is like dirt.” Evelyn said it started one day when she walked past an automatic air freshner spray, and it “dusted” her cup of glass. She gave it a try, and became hooked. Her man says he hates it but because he loves her, WADADA WAJIUZA MITANDAONI LIVE TAZAMA PICHA ZAO CHAFU NA BEI HAPA CHINI BOFYAAAA>>>>=>>>>>>=>
ANDIKA COMMENT AU MAONI YAKO HAPA!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Wordwordseven n' Tripleseven | Designed By 075580248
Back To Top