Loading...

TUZO ZA FILAMU 2015 ZAFANA, SERIKALI YAHAIDI NEEMA!

AIBUUU PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI WA FORM ONE ZAVUJA ZIONE KWA KUBOFYA HAPO CHINI=>

TUZO ZA FILAMU 2015 ZAFANA, SERIKALI YAHAIDI NEEMA!

Mama yake na Steven Kanumba akipokea tuzo ya mchango mkubwa kwenye filamu aliyotwaa mwanaye (marehemu Kanumba) kwenye tuzo za Filamu 2015.Mama yake na Steven Kanumba akipokea tuzo ya mchango mkubwa kwenye filamu aliyotwaa mwanaye (marehemu Kanumba) kwenye tuzo za Filamu 2015.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015.Mama yake na Steven Kanumba akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo ya mwanaye kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.Mama yake na Steven Kanumba akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo ya mwanaye kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.Mama yake na Steven Kanumba akilia baada ya kuitwa ampokelee tuzo mwanaye. Mama yake na Steven Kanumba akilia baada ya kuitwa ampokelee tuzo mwanaye.Irene Paul (Best Actress) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.Irene Paul (Best Actress) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.Irene Paul (Best Actress) akipongezwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.Irene Paul (Best Actress) akipongezwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.John Kalage (Best Director) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.
John Kalage (Best Director) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.Hissan Muya (Best Actor Supporting Role) akipeana mkono na viongozi wa meza kuu wakiongozwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.Hissan Muya (Best Actor Supporting Role) akipeana mkono na viongozi wa meza kuu wakiongozwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.Grace Mapunda Best Actress Supporting Role) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.Grace Mapunda (Best Actress Supporting Role) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.Hissan Muya (Best Actor Supporting Role) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.
Hissan Muya (Best Actor Supporting Role) akipokea tuzo kwa niaba ya msanii mwenzake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.Mwakilishi wa Amri Athuman-King Majuto (Best Comedian Tanzania Film Awards 2015) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo kwenye Tuzo za Filamu 2015 jana.Mwakilishi wa Amri Athuman-King Majuto (Best Comedian Tanzania Film Awards 2015) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo kwenye Tuzo za Filamu 2015 jana.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
 SERIKALI imesema itaendelea kuweka mfumo mzuri na kujenga mazingira mazuri ili kuhakikisha biashara ya filamu inaimarika, ikiwa ni pamoja na kuwavutia wawekezaji binafsi waliopo tayari kuwekeza katika tasnia ya filamu.

Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi wa Tuzo za Filamu 2015, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala alipokuwa akihutubia wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo za filamu.

Dk. Mukangala alipongeza juhudi za baadhi ya wafanyabiashara wa filamu na wasambazaji ya kudhibiti uharamia wa kazi za filamu, lakini aliwataka kuifanya kazi hiyo kwa manufaa ya wadau wote na sio kwa manufaa binafsi.
 "...Serikali itaendelea kuhakikisha kwamba mazingira ya kufanya biashara ya filamu yanaimarishwa. Pamoja na hayo ni vyema wasambazaji na wafanya biashara wengine wa filamu wenye uwezo wakaepuka kulidhibiti soko la filamu kwa nanufaa yao binafsi ili kujenga ushindani sawa," alisema Dk. Mukangala.

Aliwataka wasanii na wadau wote wa filamu kuhakikisha wanaboresha kazi zao zaidi na kufuata vigezo vinavyotambulika ili kuzitangaza kazi zao hata nje ya nchi. "Napenda mtambue kuwa ubora wa bidhaa za filamu ni moja ya vigezo vya kuwa na soko bora la filamu, kwani filamu bora hujitangaza zenyewe. Tuhakikishe kuwa tunaongeza weledi na ubunifu. Hivi ndivyo vigezo vilivyoifanya sekta ya filamu nchi zilizoendelea kufika hapo ilipo," aslisema Waziri Dk. Mukangala.

Kwa upande wake, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA), Simon Mwakifwamba aliiomba serikali kuangalia uwezekano wa kujenga chuo maalumu kwa ajili ya filamu ili kuijengea uwezo zaidi tasnia kwani inamchango mkubwa katika kuzalisha nafasi za ajira kwa makundi anuai.

Waliojishindia tuzo za filamu kwa mwaka huu 'Tanzania Film Awards 2015 (TAFA)' katika vipengele mbalimbali ni pamoja na Irine Sanga (Best Screen Play), Hissan Muya (Best Actor Supporting Role), Grace Mapunda Best Actress Supporting Role), Amri Athuman-King Majuto (Best Comedian), Irene Paul (Best Actress), John Kalage (Best Director) na wengineo.

Tuzo za filamu nchini ‘Tanzania Film Awards’ 2015 (TAFA). Tuzo hizi kubwa ambazo zimefanyika kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere International Conference Center. Zimewezeshwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, TRA, EATV na EAR, International Eye Hospital, Foreplan Clinic, R&R Associates, Simu Tv na Barazani Production.
KUONA VIDEO YAKE NI RAHISI TU BOFYA HAPA CHINI>>>>>>>>=======>>>>>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily. "I love air freshener. In the last three years, there is not a day where I’ve not had it. Fresh linen is my favorite flavor. Apple crisp is like dirt.” Evelyn said it started one day when she walked past an automatic air freshner spray, and it “dusted” her cup of glass. She gave it a try, and became hooked. Her man says he hates it but because he loves her, WADADA WAJIUZA MITANDAONI LIVE TAZAMA PICHA ZAO CHAFU NA BEI HAPA CHINI BOFYAAAA>>>>=>>>>>>=>
ANDIKA COMMENT AU MAONI YAKO HAPA!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Wordwordseven n' Tripleseven | Designed By 075580248
Back To Top