Loading...

BABA ANAYEDAIWA KUMCHINJA MWANAYE HUYU HAPA

AIBUUU PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI WA FORM ONE ZAVUJA ZIONE KWA KUBOFYA HAPO CHINI=>

MAPYA yameibuka! Kwamba baba mzazi anayedaiwa kumchinja mwanaye hivi karibuni maeneo ya Mabibo Luhanga jijini Dar, Maneno William Kasuga (50) (pichani), kuwa kabla hajafanya unyama huo aliomba atumiwe pesa na mzazi mwenzie ndipo amrudishe mtoto.

Baba aliyefahamika kwa jina la William Kasuga akionekana katika picha na mwanae aliyemchinja.

Akizungumza na waandishi wetu bibi wa marehemu William, Mwanaidi Hassan alidai kabla ya tukio, baba mzazi aliomba arushiwe pesa na mzazi mwenzie halafu ndiyo amrudishe mtoto huku akitoa onyo kali.

“Mtoto alikuwa na baba yake tangu saa mbili asubuhi wakati huo mama yake alikuwa akimpikia uji na baada ya uji kuiva alimpigia simu mumewe ili amrudishe mtoto anywe uji halafu ndiyo aondoke naye, yule baba alisema kuwa anataka atumiwe shilingi elfu hamsini kwanza halafu ndiyo aonyeshe mtoto alipo.

“Mwanangu alijua ni utani akapiga tena kwa mara nyingine akaambiwa tena kauli ileile, akaona atushirikishe sisi na baadaye akaamua kwenda katika Kituo cha Polisi Mabibo Luhanga na kutoa taarifa lakini polisi walipouliza wakaambiwa mtoto yuko na baba yake hawakushtuka wakasema huenda anatania hivyo yeye arudi nyumbani na mtoto atarudi tu,” alisema bibi wa marehemu.

Alidai baba mzazi huyo hakuishia hapo, alipiga tena simu kwa mara nyingine huku akimuamuru mzazi mwenziye atume pesa haraka iwezekanavyo na kama atashindwa basi atakuwa amemkosa mtoto kabisa.

“Mimi nilijua hivyo kuwa atarudi tu kwa sababu huwa anamchukua na kumrudisha lakini nikashangaa alipopiga simu kwa mara nyingine tena huku akisema nimtumie hiyo pesa haraka ndani ya saa moja na kama nitachelewa basi yeye atamchinja mtoto na mimi nitakuwa nimemkosa kwa uzembe wangu.

“Nikawapigia rafiki zake na kuwaeleza kuhusu hilo wakashangaa na kuniambia huenda alikuwa amechanganyikiwa kwa sababu hata mimi ndugu zangu walianza kunijia juu na kuniambia kama alinipa hizo shilingi elfu hamsini nimrudishie nikawaambia hakunipa ndiyo nikajaribu kupiga simu ikawa haipatikani na ndipo nilipoanza kusikia minong’ono huko nje kuwa kuna mtoto amechinjwa kwenye Msitu wa Njia ya Miti uliopo pembezoni mwa Shule ya Sekondari Loyola,” alisema mama mzazi wa mtoto huyo, Amina Hassan.


Habari hii iliandikwa katika gazeti hili toleo lililopita likiwa na kichwa cha habari: ‘Baba mzazi amchinja mwanae wa kumzaa.’
KUONA VIDEO YAKE NI RAHISI TU BOFYA HAPA CHINI>>>>>>>>=======>>>>>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily. "I love air freshener. In the last three years, there is not a day where I’ve not had it. Fresh linen is my favorite flavor. Apple crisp is like dirt.” Evelyn said it started one day when she walked past an automatic air freshner spray, and it “dusted” her cup of glass. She gave it a try, and became hooked. Her man says he hates it but because he loves her, WADADA WAJIUZA MITANDAONI LIVE TAZAMA PICHA ZAO CHAFU NA BEI HAPA CHINI BOFYAAAA>>>>=>>>>>>=>
ANDIKA COMMENT AU MAONI YAKO HAPA!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Wordwordseven n' Tripleseven | Designed By 075580248
Back To Top