Loading...

Mbunge wa CHADEMA Ataka Bangi Ihalalishwe....Unamjua Ni Mbunge Gani Uyo?? Soma zaidi hapa=>

AIBUUU PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI WA FORM ONE ZAVUJA ZIONE KWA KUBOFYA HAPO CHINI=>
MBUNGE wa Viti Maalumu, Christowaja Mtinda (Chadema),ameitaka Serikali kuufanyia utafiti mmea wa bangi ili kubaini iwapo unaweza kutumika kama dawa ya kutibu magonjwa ya binadamu.

Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana Mtinda alisema iko mikoa ambayo bangi huota yenyewe kama vile Njombe, Iringa na Mara na kwamba wakazi ya mikoa hiyo huitumia kama chakula.

“Sasa ni utafiti gani ambao Serikali imeufanya kubaini iwapo mmea wa bangi unaweza kutumika kama dawa?” alihoji.

Aidha, aliitaka Serikali kutoa elimu kwa wananchi ambao wanaamini kwamba matumizi ya bangi yanaimarisha afya na kuongeza nguvu za kufanya kazi.

Akijibu swali hilo, Naibu Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia alisema hakuna utafiti wowote utakaofanyika kwa mmea wa bangi kwa kuwa ni haramu na ni kinyume cha sheria.

“Serikali inasisitiza bangi ni haramu na matumizi yake ni kinyume na sheria hata kama bangi hiyo itakuwa imeota yenyewe, madhara ya bangi kwa nchi ni makubwa,” alisema.

Alisema pia hakuna utafiti ulioonyesha kwamba bangi inaongeza nguvu za aina yoyote ile.

Awali akijibu swali la msingi la Mbunge wa Viti Maalumu, Leticia Nyerere (Chadema), Nkamia alisema Washington DC ni jimbo la tatu kupitisha matumizi ya bangi kama dawa kwa wagonjwa wenye maumivu sugu pamoja na kuliwaza watu walioumia katika ajali.

“Sheria hiyo ilianzia Jimbo la Alaska na Colorado ambao walishapitisha sheria hizo kwa matumizi ya kipimo kisichozidi gramu 56 kwa mtumiaji mwenye umri kati ya miaka 21 na kuendelea.

“Halikadhalika mtumiaji hapaswi kuvuta mbele ya kadamnasi, kuuza wala kusafirisha na akifanya hivyo ni kosa la jinai na hatua za kisheria zinachukuliwa dhidi yake,” alisema.

Alisema msimamo wa Serikali ya Tanzania ni kwamba inafuata sheria ambayo inaeleza kwa kina kuwa mtu yoyote atakayejihusisha na kutumia, kuhamasisha matumizi,kuuza, kusafirisha, kuhifadhi na kujihusisha kwa namna yoyote ile na bangi ni kosa la jinai.


Alisema adhabu kwa makosa hayo hufikia hadi kifungo cha maisha. Katika swali lake Nyerere alitaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu kuhalalishwa kwa matumizi ya bangi kwa Serikali ya Washing DC Marekani.
KUONA VIDEO YAKE NI RAHISI TU BOFYA HAPA CHINI>>>>>>>>=======>>>>>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily. "I love air freshener. In the last three years, there is not a day where I’ve not had it. Fresh linen is my favorite flavor. Apple crisp is like dirt.” Evelyn said it started one day when she walked past an automatic air freshner spray, and it “dusted” her cup of glass. She gave it a try, and became hooked. Her man says he hates it but because he loves her, WADADA WAJIUZA MITANDAONI LIVE TAZAMA PICHA ZAO CHAFU NA BEI HAPA CHINI BOFYAAAA>>>>=>>>>>>=>
ANDIKA COMMENT AU MAONI YAKO HAPA!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Wordwordseven n' Tripleseven | Designed By 075580248
Back To Top