Loading...

NI MUME WANGU TU NDIYE ANAYEWEZA KUNIDHIBITI - OMOTOLA

AIBUUU PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI WA FORM ONE ZAVUJA ZIONE KWA KUBOFYA HAPO CHINI=>
Omotola Jalade , nyota wa filamu wa Nigeria ambaye amefikisha miaka 20 katika tasnia hiyo na kuwa alama ya fahari ya tasnia ya filamu ya Nollywood ya Nigeria, ametoa ya moyoni kuhusu kinachomfanya asitetereke kwenye ndoa yake ambayo imempatia watoto wanne.
Omotola Jalade akiwa na mumewe Mattew Ekeinde. 
Kipenzi huyo cha mamilioni ya wapenda filamu duniani, akijulikana kwa jila la utani la Omosexy,  amesema mumewe, Kapteni Mattew Ekeinde, ndiye kila kitu kwake na kwamba ndiye mtu pekee anayeweza kumdhibiti.
“Sidhani ningekuwa nimeolewa hadi sasa kama nisingeolewa mapema, kwani naona hakuna mtu awezaye kunidhibiti zaidi ya mume wangu.  Si kwamba mimi ni mkorofi, bali nina msimamo imara.  Sifahamu nini kinawafanya wasanii wengine wa kike kutopata wanaume sahihi wa kuishi nao,” alisema katika mahojiano hivi karibuni na gazeti la Vanguard.
Alisema wasanii wanapopata mafanikio wanachanganyikiwa na kushindwa kufahamu watu wanaowapenda kwa dhati kwa vile wanajiona wako matawi ya juu.  Hii huwaletea matatizo wao wenyewe.“Mimi nimebarikiwa, nimefanya uamuzi wa makusudi bila kumwathiri mtu mwingine.  Ni kwa vile ni uamuzi wa asili.  Nina bahati kwa vile Mungu alinifundisha jinsi ya kutumia akili yangu,” alisisitiza mwigizaji huyo.
-Omotola
KUONA VIDEO YAKE NI RAHISI TU BOFYA HAPA CHINI>>>>>>>>=======>>>>>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily. "I love air freshener. In the last three years, there is not a day where I’ve not had it. Fresh linen is my favorite flavor. Apple crisp is like dirt.” Evelyn said it started one day when she walked past an automatic air freshner spray, and it “dusted” her cup of glass. She gave it a try, and became hooked. Her man says he hates it but because he loves her, WADADA WAJIUZA MITANDAONI LIVE TAZAMA PICHA ZAO CHAFU NA BEI HAPA CHINI BOFYAAAA>>>>=>>>>>>=>
ANDIKA COMMENT AU MAONI YAKO HAPA!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Wordwordseven n' Tripleseven | Designed By 075580248
Back To Top