Loading...

SIMBA AFUNGUA DIRISHA LA GARI NA KUUA MTALII AKISHANGAA WANYAMA

AIBUUU PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI WA FORM ONE ZAVUJA ZIONE KWA KUBOFYA HAPO CHINI=>

Vyombo vikubwa vya habari vimeripoti sana hii ishu leo June 02 2015, unaweza ukaamua kufungua kioo ili uone vizuri wanyama wakati uko mbugani unatalii, hii sio salama sana kwa vile kwenye hifadhi kuna wanyama wengine wakali kama simba ambao wanaweza kufanya chochote kibaya wakipata nafasi.



Niliwahi kukuwekea kipande cha video kilichoonesha simba wakifungua mlango wa gari ya watu waliokuwa wakitalii mbugani, lakini simba hakuwadhuru.. Hii nyingine imetokea South Africa, kwenye hifadhi ya wanyama ambayo iko kama umbali wa Kilometa 30 hivi toka Johannesburg.


Mwanamke alikuwa ndani ya gari akiendelea kutalii ndani ya Lion Park, akatokea simba jike mmoja, akavamia kwenye gari kupitia kwenye dirisha la gari na kumshambulia mwanamke ambaye alifariki kutokana na majeraha makubwa aliyoyapata.


Askari wa hifadhi waliwahi na kuwafukuza simba lakini mwanamke alifariki kutokana na majeraha makubwa aliyoyapata huku mwanaume aliyekuwa akiendesha gari hiyo akiendelea kupata matibabu baada ya kujeruhiwa pia.. tukio la mtu kufariki kutokana na kujeruhiwa na simba hii ni mara ya tatu ndani ya kipindi cha miezi minne ndani ya hifadhi hiyo.

Hii ni video ya simba alivyofungua mlango wa gari.
KUONA VIDEO YAKE NI RAHISI TU BOFYA HAPA CHINI>>>>>>>>=======>>>>>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily. "I love air freshener. In the last three years, there is not a day where I’ve not had it. Fresh linen is my favorite flavor. Apple crisp is like dirt.” Evelyn said it started one day when she walked past an automatic air freshner spray, and it “dusted” her cup of glass. She gave it a try, and became hooked. Her man says he hates it but because he loves her, WADADA WAJIUZA MITANDAONI LIVE TAZAMA PICHA ZAO CHAFU NA BEI HAPA CHINI BOFYAAAA>>>>=>>>>>>=>
ANDIKA COMMENT AU MAONI YAKO HAPA!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Wordwordseven n' Tripleseven | Designed By 075580248
Back To Top