AIBUUU PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI WA FORM ONE ZAVUJA ZIONE KWA KUBOFYA HAPO CHINI=>
Mheshimiwa Zitto Kabwe amefunguka katika ukurasa wake wa Facebook na kuweza kumponda mbunge mwenzake wa Bumbuli, Mheshimiwa January Makamba kutokana na Hotuba yake aliyoisoma jana katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam wakati akitangaza nia ya Urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania mwaka 2015.
Ujumbe aliyoandika Mheshimiwa Zitto Kabwe...
January Y. Makamba ndiye mgombea wa CCM aliyejieleza kwa ufasaha zaidi kuliko wote. 'content' kawazidi wenzake wote. Hata hivyo ameshindwa kabisa kutamka Miiko ya Viongozi. Bila Miiko yote aliyoyataja hayatafanyika maana ufisadi utatamalaki. Unaweza kuondoa rushwa kwa sheria. Lakini huwezi kuondoa ufisadi bila Miiko ya Viongozi. Sijui kwanini Kijana mwenzangu kaona aibu japo kutaja neno Miiko. Uchaguzi wa mwaka huu umeegemezwa kwenye kurudi kwenye Misingi iliyoasisi Taifa.
Nimeridhika sana na content na context. Sikubaliani na mwono. January Makamba anaiona Tanzania ya kibepari. Nadhani inabidi kufumua uchumi wa kibepari na kujenga uchumi wa kijamaa. I would love to debate him on the kind of the nation we shall rebuild. Kila la kheri rafiki yangu.
Maoni waliyoyatoa wadau ....
Faraja MG.
Ubepari ndo wenyewe. Ujamaa tulishauzika. Huwezi endelea na Ujamaa.
Jimy Macha
Katumia sana shule kwenye kujieleza kuliko uhalisia.....
Joseph Pjp.
Ingekuwa tunawapima wagombea kwa kujieleza basi nchi hii #MC wa sherehe wangefaa kuwa marais wetu! na watunga hotuba kama yeye , hiyo ilikuwa ajira yake kuandika hotuba.
Kimsingi January ni uzao wa huo mfumo anaoulalamikia kuwa atauletea Mabadiliko! #Baba yake amekuwa kwenye same system #iliyofeli anayoilalamikia kuwa imefeli! for 50 years #genetically he has proved us right kuwa hana jipya sawa na wazazi wake walivyofeli na yeye amefeli! refer #simcardTax na tozo ghali za simu , MB 8 , hayo ni mambo madogo tuu kafeli.
hatujasahau hiyo sheria ya mitandao aliyekuja nayo ya kuzima moto na sasa haiwezi kufanya kazi. inshort ni ngumu fisii kuzaa swala!
sio mimi, ni kanuni ya Genetics!
David Mssika.
January Y. Makamba did well. Maybe hizo kasoro ziwe ni challenge kwake. Nimependa ufufuaji wa njia za uchumi na mikakati YA kuongeza/kupata fedha from within! Hii itapunguza dependency syndrome! Kitu nimekosa kwa wote Usalama wa raia na Mali zao, usalama wa nchi na namna YA kuboresha demokrasia.
Albert Kamwela.
Nina shaka na utekelezaji. Maneno yanakuwa mengi kuliko utekelezaji.
Goodluck Andrew Msaky.
Hivi mradi wa MKURABITA ungeenda ipasavyo hawa watia nia wangezungumza kitu gani? Anatuambia ataunda baraza la mawaziri18 lenye maadili wakati hiyo sera ilikuwepo kwenye rasimu ya katiba ya Jaji Warioba na ndiyo hiyo CCM wameipiga vita bungeni akiwemo sasa leo anatuambia kitu gani.. Naona kama anakosoa yaliyofanywa kipindi cha awamu ya nne na yeye alikua na uwezo wa kushauri kama naibu waziri mambo yakaenda sawa.
Manywele Omary.
Chui katika Ngozi ya kondoo.. Nadharia na Vitendo ndo tofauti kubwa kwa viongozi wa CCM, so far me naona Mwigulu Nchemba ndo yupo na real inner spirit ya mabadiliko.
Lyaruu Engelbert John.
Ni mkusanyiko wa yale yale!! Kweli hatujapata jibu la changamoto zetu. Hawa walikuwa na rais mbona haya wanayoongea hawakufanya katika wizara zao; au rais hakuwa na utashi! Tujiulize.
KUONA VIDEO YAKE NI RAHISI TU BOFYA HAPA CHINI>>>>>>>>=======>>>>>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily. "I love air freshener. In the last three years, there is not a day where I’ve not had it. Fresh linen is my favorite flavor. Apple crisp is like dirt.” Evelyn said it started one day when she walked past an automatic air freshner spray, and it “dusted” her cup of glass. She gave it a try, and became hooked. Her man says he hates it but because he loves her,
WADADA WAJIUZA MITANDAONI LIVE TAZAMA PICHA ZAO CHAFU NA BEI HAPA CHINI BOFYAAAA>>>>=>>>>>>=>
Post a Comment