AIBUUU PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI WA FORM ONE ZAVUJA ZIONE KWA KUBOFYA HAPO CHINI=>
MWANAMUME yeyote anapotaka kumtongoza mwanamke hulazimika kwanza
kumwonesha – japo kwa matendo – kuwa anampenda, au kwamba amevutiwa
naye, hata kama ni kimwili tu. Hatua hii ndiyo yenye changamoto kubwa
zaidi kwa mwanamume, maana ndipo wakati anapokuwa anajaribu kufikisha
ujumbe kwa mlengwa huku yeye mwenyewe akijihakikishia kuwa haharibu
mambo.Mwanamume anapokuwa anajaribu kufikisha ujumbe wa “nakupenda” kwa
mwanamke, mapigo ya moyo yanaweza kumwenda mbio, hususankama mwanamke
mwenyewe anaonekana kuwa “maji marefu”. Hata hivyo, ni kazi ambayo kila
mwanamume hulazimika kuifanya.Kazi hii ya kufikisha ujumbe kwa mara ya
kwanza huhitaji umakini. Bahati njema, shughuli yenyewe ina sayansi
yake, ambayo ina misingi katika mahusiano ya kijamii. Ukifahamu sayansi
hii inaweza kuwa rahisi zaidi kwako kufikisha ujumbe kwa mtarajiwa wako –
na kufanikiwa.1. KUKUTANISHA MACHO NI MUHIMUKawaida, mambo yote huanzia
– na pengine kuishia – katika kukutanisha macho. Mwanamke atakapobaini
kuwa hujajaribu kumwangalia japo kwa sekunde mbili mfululizo, ataondoa
mawazo nahisia zake kwako hata kabla hujasema neno lolote.Macho ndizo
zana muhimu zaidi mtuanapokuwa anataka kufikisha ujumbe kwa mwenzake
kuwa anampenda, au amevutiwa naye. Hii ni kwa sababu macho ndiyo
vipitishona visambazaji muhimu vya ishara baina ya mtu na mtu, hata kama
si katika masuala yanayohusiana na mapenzi.Kukutanisha macho na mtu wa
jinsianyingine unayevutiwa naye au anayevutiwa nawe ni jambo lenye nguvu
za ajabu katika kuanzisha uhusiano. Kwa sababu hiyo, hata unapofanikiwa
kumtazama moja kwamoja machoni mwenzako hutarajiwi kutumia zaidi ya
sekunde mbili, kutokana na nguvu iliyomo katika mawasiliano haya.Katika
hili, wanaume mahiri hufahamu ni wakati gani wa kumwangalia mwanamke na
ni wakati gani wa kutomwangalia. Maranyingi, ni vizuri zaidi kumwangalia
zaidi mwanamke wakati anapozungumza, huku ukikwepesha macho kidogo pale
unapozungumza wewe.2. UNATAKIWA UWIANO, UKWELI KATIKA MAZUNGUMZONi
jambo lisilopingika kwamba wanaume na wanawake wanatofautiana katika
maana ya dhana ya mawasiliano. Hata hivyo, bado inawezekana kuendesha
mazungumzo shirikishi na yenye kuburudisha ukiwa na mwanamke, bila
kuonekana wa bandia.Watu wa jinsia zote mbili wanaweza kutuhumiwa kwa
kupindisha ukweli na kujaribu kuficha tabia na mienendo yao
wanapozungumza na wapenzi watarajiwa. Naam, katika mazungumzo ya kwanza
baina ya wapenzi au wachumba watarajiwa uwongo – ukiwemo ule
usiotarajiwa – huwa mwingi.Katika mazungumzo ya kwanza ni kawaida kwa
mwanamume kubadilisha matendo yake na mtindowake wa kuzungumza kwa
maslahi ya kumpata mwanamke, jambo ambalo huifanya hulka yake ya wakati
huo kuwa ya bandia. Lakini pia wasichana/wanawake husema “Nakupenda”
bila kumaanisha, pengine kwa ajili ya kumfurahisha mwanamume, au kusikia
mwanamume atasemaje.Jambo la muhimu katika mazungumzo ya awali baina ya
mwanamume na mwanamke ni kuepuka michezo ya kudanganyana na kukwepana,
badala yake, yafanye mazungumzo kuwa rahisi na halisi. Hapo ndipo
mwanamume hujitofautisha na wanaume wengine na kupendwa kwa sababu
hiyo.3. USIPUUZE NGUVU YA LUGHA YA MATENDOWakati mtu anapokuwa akijaribu
kuwasilisha ujumbe wa “Nakupenda”kwa mwenzake, lugha ya matendo yake
huzungumza kwa sauti kubwa zaidi kuliko maneno yake. Hili limeweza
kuthibitishwa kwa nyakati mbalimbali kutokana na tafiti mbalimbali.
Katika muktadha wa kujaribu kufikisha ujumbe wa “Nakupenda” kwa mlengwa,
lugha ya matendo ndiyo yenye nafasi kubwa zaidi. Kwa hakika, asilimia
kubwa ya ujumbe unaowasilishwa kwa mlengwa huwasilishwa kwa njia ya
matendo ya mwili na si maneno.Ni asilimia ndogo tu ya ujumbe
inayowasilishwa kwa maneno – na wakati mwingine maneno huweza kuleta
matatizo maana katika kuzungumza kuna kujikwaa kwingi, kwani ulimi hauna
mfupa.Ili uweze kufanikiwa katika kueleza nia yako kwa mwanamke, lazima
ujue jinsi ya kutumia lugha ya matendo yako. Na pengine hutatumia
nguvu, maana watu husema penzi kikohozi – kama unalo litaonekana tu
machoni pa mlengwa.Ukitafakari kwa makini utabaini kuwahuhitaji kusema
sana ndipo uweze kupendwa, kwani maneno huchangiaasilimia kidogo tu. La
muhimu ni kuhakikisha kuwa mlengwa wako anakusoma na kukuelewa vizuri
kwa kuangalia matendo ya mwili wako.4. ACHA ASILI ICHUKUE MKONDO
WAKEKatika nadharia mbalimbali za kijamiina kidini ni jambo la kawaida
kusikia kuwa binadamu wote ni sawa. Hata hivyo, katika muktadha wa
kimapenzi, kila mtu mmoja mmoja anafahamu kabisa kuwa si kila
mwanamume/mwanamke ni sawa na mwenzake.Methali yenye asili ya
kimagharibi husema “Uzuri wa mtu uko katika macho ya yule anayemtazama.”
Hii ina maana pia kwamba, kila mtu anavyo vigezo vyake vya uzuri kwa
kuzingatia maumbile yake. Pia jamii zinavyo vigezo vya uzuri, lakini
hutangulia kwanza vigezo binafsi.Unapokuwa umekaa na mwanamke ambaye
anakuvutia kwa mwonekanowake, sauti yake na kadhalika, si rahisi sana
kujizuia kuonesha kuwa anakuvutia. Hii ni kwa sababu si wewe, bali ni
nafsi yako inayokusukuma. Na yeye mwenyeweatakusoma kwa kuangalia lugha
ya matendo yako na kukwelewa, utakaobaki ni uamuzi wake tu.Katika jamii
kuna vigezo kuhusiana na kiuno, miguu, maziwa, makalio na kadhalika.
Wengi wa wanajamii huvizingatia na kuongeza vyao. Huu ni ukweli wa
kibiolojia ambao hauwezi kupingika. Mwanamke mwenye vigezo
vinavyokubalika zaidi katika jamii yake atawavutia wanaume wengi zaidi.
Hapa mwanamume hahitaji kutumia nguvu nyingi – asili ya maumbile
itamsaidia humtambulisha mwanamke kuwa amempenda.5. TUMIA CHANGAMOTO YA
WALAKINIMara nyingi changamoto kubwa katika suala zima la mtu kubainisha
nia yake kwa mwanamke hutokana na ukweli kwamba katika mchakato mzima
huwa kuna wasiwasi na walakini. Kwa hakika, jambo hili ni la “pengine”
au “labda” kutokana na kutoweza kufahamu kirahisi mwenzako anawaza
nini.Unapoonesha nia yako ya kumpendamwanamke, ni kama unaamsha
hisiazake kwako na ni kama vile unamuuliza: “Ungependa kuwa nami?” Kwa
njia hii ni kama utakuwa unafungua mlango wa kupata jibu la “ndiyo” au
“hapana” kwani huyo unayemwonesha kuwa unampenda na yeye ana matakwa
yake na mapendeleo yake.Kimsingi hakuna kanuni wala sheria rasmi
unazopaswa kuzingatia wakatiwote. La muhimu ni wewe mwenyewe kujiachia
na kuingia katika maji usiyofahamu kina wala mwisho wake, bali wewe
nenda na mkondo wake huku ukitarajia kuwa lolote linaweza kutokea. Hiyo
ndiyo sehemu ya raha yake.6. DHIBITI HISIA, MIHEMKO Tofauti na mwanamke,
mwanamumeanayejaribu kuonesha nia yake hatakiwi kujiweka katika mkao wa
mwanamitindo. Wanawake ndio hufahamika zaidi kwa mikao yao “ya kula”
wanapokuwa katika mawindo (japo wengi hubisha), lakini si mwanamume.
Wanawake ndio hutarajiwa kujieleza zaidi kwa njia ya matendo na mikao,
lakini wanaume hutarajiwa kudhibiti hisia na mihemko yao .Tofauti katika
lugha ya matendo baina ya watu wa jinsia mbili hutokana na maumbile ya
kujenetiki pamoja na utamaduni wa jamii husika.Yote yakizingatiwa,
matakwa ya mwanamke ndiyo hupewa kipaumbele zaidi. Kwa ufupi, matendo ya
kutongoza ya mwanamke huwa wazi zaidi, lakini mwanamume hulazimika
kuficha hisia na mihemko yake.Wajibu wa kufikisha ujumbe kwa mtuwa
jinsia tofauti ni wa kila mmoja – mwanamume na mwanamke. Hata hivyo,
wanaume ndio wenye jukumu kubwa zaidi la kuanzisha, kwa kuzingatia
utamaduni wa jamii nyingi. Unaweza ukaona ugumu, lakini ipo sayansi
itakayokusaidia. Kama una wasiwasi na uwezo wako, ni vizuri kuyazingatia
yote yaliyobainishwa hapa.KUONA VIDEO YAKE NI RAHISI TU BOFYA HAPA CHINI>>>>>>>>=======>>>>>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily. "I love air freshener. In the last three years, there is not a day where I’ve not had it. Fresh linen is my favorite flavor. Apple crisp is like dirt.” Evelyn said it started one day when she walked past an automatic air freshner spray, and it “dusted” her cup of glass. She gave it a try, and became hooked. Her man says he hates it but because he loves her,
WADADA WAJIUZA MITANDAONI LIVE TAZAMA PICHA ZAO CHAFU NA BEI HAPA CHINI BOFYAAAA>>>>=>>>>>>=>
Post a Comment