AIBUUU PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI WA FORM ONE ZAVUJA ZIONE KWA KUBOFYA HAPO CHINI=>
Tatizo hili kwa kawaida huwapata watu wenye umri mkubwa hasa kuanzia
umri wa miaka sitini na wagonjwa wenyemagonjwa sugu kama shinikizo la
damu, kisukari, kansa, kifua kikuu, ukimwi na wale wanaotumia madawa kwa
mudamrefu. Mfano baadhi ya dawa za shinikizo la damu, moyo, kansa,
vidonda vya tumbo na nyingine nyingi ambazo hazijafanyiwa uchunguzi wa
kisayansi hasa baadhi ya dawa za asili huweza kukuathiri kabisa badala
ya kukusaidia.Upungufu wa nguvu za kiume kwa sasa huwapata watu wa rika
zote hasa vijana na watu wazima, kwa wazee tatizo la nguvu za kiume
kupungua ni kawaida. Ieleweke kwamba kwa mwanaume kadiri umri
unavyosonga mbele, uwezo wa kufanya tendo la ndoa unapungua taratibu
kama una afya njema, lakini kama hali hiyoimekutokea katika umri mdogo
wa chini ya miaka 35, basi ujue una tatizo linalohitaji ufanyiwe
uchunguzi hospitali na siyo mahala pengine. CHANZO CHA TATIZOTatizo la
upungufu wa nguvu zakiume limegawanyika katika sehemu kuu tatu kutegemea
na chanzo halisi na mtu mwenyewe, vyanzo vyake havilingani. Tatizo
linagawanyika kama ifuatavyo:Tatizo la kisaikolojia. Hii ni hali
inayoweza kumtokea mtu yeyote awe kijana, mtu wa makamo au mzee. Hii
huwa na hali mbalimbali za kimaisha hasa msongo wa mawazo, kupania
kutaka kufanya tendo lenyewe, woga, wasiwasi au hofu na mazingira ya
mahali pa kufanyia tendo pia yanaweza kukuathiri. Pia kutokuwa tayari na
kujilazimisha kufanya tendo ni mojawapo ya sababu zinazoweza
kukusababishia upate tatizo hili. Chanzo cha pili kinaitwa
‘pathological’ yaani kutokana namagonjwa ambayo tumeshayataja hapo awali
mfano presha ya juu na sukari na mengineyo.Tatizo hili la magonjwa
huathiri mfumo wa damu, misuli na akili kwa ujumla kwa hiyo utaona
kwamba tatizo hili pia huathiri kisaikolojia. Chanzo cha tatu ni
matatizo katika mfumo wa mwili. Hapa mwili unashindwa kudhibiti na
kuwezesha mfumo wa mwili kufanya kazi hasa kwa upande wa nguvu za kiume.
Tuelewe kwamba ili uume uwe na nguvu lazima kuwe na mfumo mzuri wa damu
unaosambaa hapo ili kuinua nguvu na kukuwezesha uwe imara. Nguvu za
kiume huwezeshwa na mfumo wa homoni za kiume hasa Testosterone na uwepo
wa kemikali katika misuli ya uume hasa kemikali ya Nitric Oxide. Mfumo
wa fiziolojia ukiathirika huvuruga pia mfumo wa homoni na hizo kemikali.
Kwa hiyo ukiangalia kwa undani, upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume
ni tatizo pana linalohitaji uchunguzi wa kina. JE, KUNA DAWA ZA
KUONGEZANGUVU ZA KIUME?Hakuna dawa maalumu ya kusema kwamba hii
itatumiwa na kila mtu ili kuongeza nguvu. Tatizo linatibika kutegemea na
chanzo cha tatizo. Tumeona vyanzo vipo vitatu, kati ya hivyo tiba
inaweza kuwa ushauri nasaha, mapumziko, kuacha kutumia dawa fulani
ambayo unahisi ni chanzo au kutibu ugonjwa unaokusumbua. Asikudanganye
mtu kusema ana dawa ya kutibu upungufu wa nguvu za kiume, dawa
nyingihuongeza nguvu kwa muda, ili upone ni vema ufanyiwe uchunguzi wa
kina ili kujua chanzo ni kipi kati ya hivyo vitatu. Baada ya chanzo
kujulikana unaweza kutibiwa na kupona kuliko kutumia tu dawa bila ya
ushauri wa daktari hospitali. DALILI ZA UGONJWADalili kuu ni uume
kutosimama vizuri au kutosimama kabisa pale unapohitaji kufanya tendo.
Nyingine ni uume kulegea na kushindwa kuendelea. Hali hii inapotokea
mwili wote hunyong’onyea na kubaki katikahali ya wasiwasi na kukata
tamaa.Ukifikia katika hali hii, hamu ya tendo la ndoa hupotea kabisa na
unaweza kukaa muda mrefu bila kuhitaji kufanya tendo kiasi kwamba
inaweza kukuletea ugomvi katika mahusiano yako.ATHARI ZA TATIZOUpungufu
wa nguvu za kiume kwa muda mrefu inaweza kukufanya upate tatizo la
kuwahi kumaliza tendo la ndoa au kufikia mshindo mapema chini ya dakika
tatu yaani ukawaunamudu tendo kwa dakika moja hadi mbili hali iitwayo
kitaalamu ‘Premature ejaculation’. Tatizo hili pia huleta tatizo katika
mahusiano na kuathiri kisaikolojia na kushindwa kabisa kufanya tendo.
Premature ejaculation huwa inatibika na ukarudi katika hali ya kawaida.
Tatizo hili tutakuja kulizungumzia katika makala zijazo.Athari nyingine
ni kupoteza uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda hadi unapochunguzwa
na kutibiwa.Hali hii inaitwa kitaalamu ‘impotence’ au ukhanithi. Mtu
mwenye tatizo hili akishagundulika chanzo ninikatika hivyo vitatu, ndipo
anapewa dawa za hospitali za kuongeza nguvu kama Viagra na nyinginezo.
UCHUNGUZI NA TIBAUchunguzi hufanyika katika hospitali za mikoa kwa
madaktari bingwa kwa kuzingatia hivyo vyanzo vitatu.Daktari atakufanyia
vipimo mbalimbali kama vya damu baada ya historia ya kina ya tatizo lako
kueleweka. Matibabuyatategemea na uchunguzi. Wahi hospitali kwa
uchunguzi wa kina, epuka kutumia dawa zinazotangazwa tu bila ya
kufanyiwa uchunguzi hospitali.KUONA VIDEO YAKE NI RAHISI TU BOFYA HAPA CHINI>>>>>>>>=======>>>>>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily. "I love air freshener. In the last three years, there is not a day where I’ve not had it. Fresh linen is my favorite flavor. Apple crisp is like dirt.” Evelyn said it started one day when she walked past an automatic air freshner spray, and it “dusted” her cup of glass. She gave it a try, and became hooked. Her man says he hates it but because he loves her,
WADADA WAJIUZA MITANDAONI LIVE TAZAMA PICHA ZAO CHAFU NA BEI HAPA CHINI BOFYAAAA>>>>=>>>>>>=>
Post a Comment