AIBUUU PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI WA FORM ONE ZAVUJA ZIONE KWA KUBOFYA HAPO CHINI=>
Hii ina maana pana sana, lakini naweza kutoa moja kama mjumuisho
wa yote! Utumwa wa mapenzi unaweza kutokea pale, utakapompenda mtu
ambaye hana habari na wewe kabisa, yaani unajikuta ukioza juu yake,
lakini anakuwa hana mapenzi na wewe kabisa.
Wakati mwingine unaweza ukamshawishi
mtu huyo kwa vitu fulani, akakubali kuwa na wewe lakini sio kwa mapenzi
ila kwa kuwa kuna kitu fulani atapata kutoka kwako.
Kama ukiruhusu
utumwa wa mapenzi, maisha yako ya kawaida, yanaweza kuharibika na
kukosa muelekeo! Uwezo wako wa kufikiria utakuwa mdogo ma hata wakati
mwingine kupunguza ufanisi wako wa kazi.
Muda mwingi utautumia kufikiri kwanini fulani hakuipendi? Una kasoro gani n.k, kimsingi kama ukiruhusu utumwa wa mapenzi, mpangilio wa maisha yako unaweza kuharika na kukosa muelekeo kabisa.
UTAJUAJE KAMA WEWE NI MTUMWA?
Hili ni rahisi kutambua ingawa ni hatua mbaya sana katika maisha yako. Jambo la kwanza ni mabadiliko ya hisia za moyo wako, utajikuta ukimpenda mtu sana,
ambaye hata time kabisa na wewe! Pamoja na kuwa anaonyesha kila dalili
za kukuchukia lakini bado utahisi kumpenda na kumhitaji katika maisha
yako.
Moyo wako huendele kuysisitiza kuwa
huyo sio sahihi kwa maisha yako, lakini bado mtu huyo ataendelea
kukuonyesha kila vibwanga vya kuchukiza. Sio jamboi la ajabu kuhiusi
kufa kuliko kuendelea kuteseka kwa penzi la huyo ambaye haonyeshi
kutambua thamani ya penzi lako.
UTUMWA WA MAPENZI
Kipengele hiki ni kama kiini
cha mada hii, tunapozungumzia utumwa halisi wa mapenzi, ni pale
ulipojitahidi kumshawishi mpenzi huyo, kwa kila njia ili nuweze kuwa
naye! Inawezekana ulimshawishi kwa pesa na wakati mwingine, ndugu zake
walimlazimisha kuishi na wewe, akaamua ingawa hakupenda.
Mnapokuwa mmeingia kwenye ndoa, hapo
sasa ndipo utumwa hukamilika! Sio rahisi kutoka tena (hasa kwa Wakristo)
lakini mume/mke huyo atakuonyesha kila aina ya vimbwanga kuthibitisha
kuwa hana mapenzi na wewe.
Inawezekana ukahitaji haki yako ya
ndoa lakini akawa mgumu kukupa, kwa sababu hakupendi! Alikuoa/olewa na
wewe kwa sababu ya shinikizo na sio mapenzi, lakini kwa kuwa tayari
unakuwa umeshazoeana naye inakuwa vigumu kumtoa moyoni mwako.
Wengi wao hufikikia hatua ya kuamua maamuzi ambayo sio sahihi, baadhi yao huchanganyikiwa na wengine huona bora kufa kuliko kufedheheka! Kimsingi utumwa wa mapenzi ni ugonjwa mbaya sana kisaikolojia.
CHUNGUZA MOYO WAKE
Hakika utumwa wa mapenzi ni ugonjwa mbaya sana, kimsingi usiruhusu kabisa kuwa mtumwa wa mapenzi. Hilolinawezekana kwa kumchunguza moyo wa huyo umpendaye. Katika hali ya kawaida, ni jambo gumu kidogo lakini iunawezekana.
Unaweza kuuchunguza moyo wake kwa kuangalia je, ni kweli naye anakupenda kama unavyompenda?
Kuna wengine hushindwa kukuambia SIKUTAKI, lakini anaendelea kuwa na
wewe, kukufanya chombo cha starehe na kukupotezea muda wako. Ni rahisi
kumtambua.
Mwulize kwanini anakupenda? Akupe
sababu hasa za mapenzi yake kwako, akikuambia anakupenda kwa sababu ya
umbo au sura nzuri, tambua huyo sio mpenzi sahihi na huenda akakufikisha
katika utumwa wa mapenzi. Anayekupenda, hukujibu kuwa, amekupenda kama ulivyo, anaamini wewe ni mhimnili wa maisha yake na maisha yake yatakuwa kamili akiwa wewe na sio kuzungumzia habari za ngono!
Mara nyingi ukimpigia simu, huchelewa
kupokea kwa kisingizio cha kazi nyingi, ukimwandikia sms ndio kabisa
hajibu! Yote hiyo ni kwa sababu hakupendi! Hana msisimko wowote na wewe.
Kwanza kama anakupenda, hata kwenye
simu yake atakuwa amekuwekea mlio (Ring tone) tofauti na wengine, hivyo
ukipiga lazima ajue ni wewe na hata kama ana kazi nyingi kiasi gani anapaswa kupokea, kwa kuwa wewe ni muhimu kwake!
KATAA KUWA MTUMWA
Ukiona niliyoanisha katika kipengele kilichopita, ujue kuwa hakupendi, sasa kama ndivyo,
huna sababu ya kukubali kuwa mtumwa! Kataa kwa nguvu na ni bora
ukajifunza jinsi ya kukabiliana na hali ya kuishi bila huyo uliyempenda,
kuliko kuishi naye halafu akutese.
Vipo
vitu vingi vitakavyokusaidia kuepukana na hali ya sononeko katika moyo
wako na kuishi maisha yako peke, huku ukimsubiri aliye maalum kwa ajili
yako! Kataa kabisa kuwa mtumwa maana maisha yako huweza kuharibika moja
kwa mojaKUONA VIDEO YAKE NI RAHISI TU BOFYA HAPA CHINI>>>>>>>>=======>>>>>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily. "I love air freshener. In the last three years, there is not a day where I’ve not had it. Fresh linen is my favorite flavor. Apple crisp is like dirt.” Evelyn said it started one day when she walked past an automatic air freshner spray, and it “dusted” her cup of glass. She gave it a try, and became hooked. Her man says he hates it but because he loves her,
WADADA WAJIUZA MITANDAONI LIVE TAZAMA PICHA ZAO CHAFU NA BEI HAPA CHINI BOFYAAAA>>>>=>>>>>>=>
Post a Comment