Loading...

BREAKING NEWZZZ:SHUHUDIA AJALI YA BASI LA EMBAKASS YILIVYOUA IRINGA LEO!

AIBUUU PICHA ZA UTAMU ZA MWANAFUNZI WA FORM ONE ZAVUJA ZIONE KWA KUBOFYA HAPO CHINI=>










AJALI yanua mmoja Iringa huku abiria 18 wakinusurika kifo baada ya basi la kampuni ya Embakasy lenye namba za usajili T 997 AKJ kuacha njia ya kupinduka eneo la Ipogolo mjini Iringa.
Wakizungumza na mtandao huu wa martukiodaima eneo la ajali baadhi ya abiria wa basi hilo walidai kuwa basi hilo lilikuwa likitaka kuingia katika kituo kimoja wapo cha mafuta eneo hilo na wakati likitoka ndipo liliponusurika kugongana na lori lililokuwa barabara kuu ya Iringa - Mbeya .
Hivyo kutokana na kunusuri kugongana ndipo dereva wa basi hilo alipoamua kulikwepa lori hilo kwa kukata kuna kubwa zaidi iliyopelekea basi hilo kuacha njia na kupinduka kando ya barabara hiyo .
Walisema kuwa basi hilo limekuwa likifanya safari zake kati ya Ilandutwa wilaya ya Iringa vijijini na Iringa mjini na kuwa pona yao katika ajali hiyo ni kutokana na kuwa katika mwendo wa kawaida zaidi .
konda wa basi hilo Bw Esack Mtandi alielezea tukio hilo alisema kuwa basi hilo lilikuwa likitaka kuingia kujaza mafuta katika kituo kimoja wapo cha mafuta kilichopo eneo hilo na mbele kulikuwa na lori na wakati dereva akijiandaa kuingia kituoni hapo ghafla usukani uligoma na hivyo kumtoa dereva nje ya barabara kabla ya kupinduka .
Alisema katika basi hilo kati ya abiria 18 waliokuwepo abiria 6 ndio waliojeruhiwa akiwemo dereva na hakuna aliyepoteza masisha .
Kwa upande wake jeshi la polisi mkoani Iringa limethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuwa ajali hiyo ilitokea majira ya saa 3 kasoro asubuhi ya leo na kumtaja dereva wa basi hilo kuwa ni Abdalah Nyalusi
Alisema kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Ramadhan Mungi na kuwa katika ajali hiyo hakuna abiria aliyepoteza maisha .
Wakati huo huo mmoja kati ya wafanyabiashara maarufu mji wa Ilula wilayani Kilolo mkoani hapa aliyefahakika kwa jina moja la kasim aliyekuwa akiendesha gari lenye namba za usajili T 111 GRE RAV4 amekufa papo hapo baada ya kugongana uso kwa uso la lori .
Kamanda Mungi alisema kuwa mfanyabiashara huyo alikuwa akitokea Ilula kuja Iringa mjini na baada ta kufika eneo la kona ya Igumbilo barabara kuu ya Iringa - Dar es salaam wakati akijaribu kulipita daladala lililokuwa mbele yake katika kona hiyo ghafla alikutana na lori hilo na kugongana nalo .
Hata hivyo alisema jina kamili la mtu huyo bado kufahamika na kuwa wanasubiri ndugu zake ili kujakutambua mwili huo na kutoa jina kamili.

WEKA MAONI YAKO HAPA

KUONA VIDEO YAKE NI RAHISI TU BOFYA HAPA CHINI>>>>>>>>=======>>>>>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily. "I love air freshener. In the last three years, there is not a day where I’ve not had it. Fresh linen is my favorite flavor. Apple crisp is like dirt.” Evelyn said it started one day when she walked past an automatic air freshner spray, and it “dusted” her cup of glass. She gave it a try, and became hooked. Her man says he hates it but because he loves her, WADADA WAJIUZA MITANDAONI LIVE TAZAMA PICHA ZAO CHAFU NA BEI HAPA CHINI BOFYAAAA>>>>=>>>>>>=>
ANDIKA COMMENT AU MAONI YAKO HAPA!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Wordwordseven n' Tripleseven | Designed By 075580248
Back To Top